Wabunge wailalamikia Serikali kuhusu kukatika katika kwa umeme nchini
Wabunge wameilalamikia Serikali kwenye suala la kukatika katika kwa umeme katika maeneo mbalimbali hapa nchini na kuitaka kutamka lini ...
Milioni 1 adhabu ya ufugaji mifugo holela Mjini
Na James Timber, Mwanza Ufugaji mifugo holela ni kosa la jinai katika Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela ambapo kima cha chini cha adhabu ...
Makamu wa Rais azungumza haya siku ya mazingira duniani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa ngazi zote kuongeza nguvu katika utekelezaji ...
PICHA: Basi lagonga treni...7 Wafariki Dunia
Watu 7 wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya, baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo mkoani Kigoma. A...
Waziri Ndalichako : “Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa”
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Ma...
Polisi Shinyanga Wakamata Silaha Za Kivita,waua Majambazi Wanne Makaburini Kahama
Na Kadama Malunde Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi eneo la makaburi ya Kitwana kata ya Bus...
Kigwangalla Ashiriki Mazishi Ya Mama Yake Mzazi Hussein Bashe Wilayani Nzega
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akimfariji mbunge wa Nzega Mjini, Hussei...
Rais Magufuli Kuzindua Programu Ya Kuendeleza Sekta Ya Kilimo Awamu Ya Pili (ASDP II)
Na Mathias Canal-WK, Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kat...
Polisi Dar Wakusanya Milioni 972 Za Makosa Barabarani Ndani ya Wiki Mbili
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya Sh972.7 milioni za makosa ya usalama barab...
Waziri Mkuu Ashiriki Ujenzi Wa Uwanja Mpya
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na ...
Waziri Mkuu Apokea Wanachama Wapya 89 Kutoka kutoka CUF, CHADEMA na ACT .....Yumo aliyekuwa Katibu Mwenezi wa kata wa CHADEMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama saba kutoka vyama vitatu vya upinzani ambao wameamua kurejea Chama cha Mapi...
Spika Ndugai: Wabunge 363 Hawatasafiri Nje ya Nchi Kwa Miaka Yote Mitano
Bunge limesema wabunge 363 hawatasafiri kwenda popote nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na sera ya kupunguza safari za...
Waziri Mkuu Ahimiza Matumizi Ya Mifumo Ya Ulinzi Wa Miji Ya Kielektroniki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi waangalie umuhimu wa kutumia mifum...
Zari Amkumbuka Ivan Katika Kumbukumbu Ya Kifo Chake....Leo Katimiza Mwaka Mmoja
Zarinah Hassan maarufu kama Zari The Bosslady amezidi kumkumbuka aliyekuwa mume wake Ivan Semwanga aliyeaga dunia mwaka jana tarehe 25 mw...
Bilioni 700 Zatengwa Kwa Ajili ya Mradi wa umeme wa Stiegler Gorge
Serikali imeonyesha dhamira yake ya dhati ya kutekeleza mkakati wa kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme baada ya kutenga Sh700 bilioni kw...