DC Luoga Tarime atoa Ufafanuzi kuhusu Suala la kuweka Mipaka ya Hifadhi ...
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya
Ulinzi na Usalama ngazi ya Wilaya akiongea na Vyombo vya habari ofisini
kwake hii leo amesema kuwa Suala la Mipaka inayowekwa katika hifadhi ya
Serengeti hawaweka Mipaka Mipya bali ni kuimarisha Mipaka hiyo
iliwekwa Mnamo Mwaka 1960 na Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage
Nyerere.
,,,,Tazama Video hapa Chini DC Luoaga akitoa ufafanuzi zaidi,,,,,