Mkuu wa Wilaya Tarime Luoga awaka na Mbunge Heche kuhusu alichosema Bungeni
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na waandishi wa habari
kuhusu suala la kuimarisha Mipaka baina ya wananchi na hifadhi ya Taifa
Serengeti katika kata ya Nyanungu, Goronga na Kwihancha kupitia Vijiji
vijanvyopakana na hifdhi hiyo
Mkuu wa Wilaya huyo amedai kuwa
suala la Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini kupitia CHADEMA John Heche
kuhusu Mipaka ya hifadhi ya Serengeti alilozungumza akiwa Bungeni
amepotosha Watanzania hakuna Ukweli wowote na ameliomba Bunge kutuma
watu ili kuchunguza suala hilo kwa lengo la kubaini Ukweli wake.
"Bunge
ni chombo tukufu suala la mbunge Heche kuongea suala la Uongo Bungeni
lichunguze watumishi wangu wakikutwa na kosa na Mimi nikiwemo nifukuzwe
kazi na yeye akikutwa na Makosa Sheria pia ichukue Mkondo ake" alisema
Luoga.
| ,,,Tazama Video DC AkifungukaVikali,,,, |