Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba kufunga rasmi Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara.
Picha katika Matukio tofauti Vibanda vilivyoandaliwa
kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Mto
Mara ambayo yanafanyika katika Willaya ya Tarime Mkoani Mara Viwanja
vya Chuo Cha Ualimu Tarime TTC kuanzia 13 hadi 15 Septemba ambapo Septemba 15
maonyesho hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Mazingira na Muungano),January Makamba kwaniaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh:Samia Suluhu Hassan.
Wanachi wanatembelea Vibanda vya Maonyesho.
PICHA ZOTE NA CLEO24 NEWS.