Machage Nyamongo inakumbwa na Changamoto ya Maji safi na Salama
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bathromeo Machage ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Matongo akizungumzia changamoto ya Maji safi na salama Nyamongo. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akiwasilisha taarifa ya Mwaka katika katika Baraza la madiwani la kufunga mwaka ambalo limeenda sambamba na uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo. |
Madiwani wakiwa katika Baraza hilo. |
Mwenyekiti wa Halmasghauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa akizungumzia suala la Changamoto ya Maji. |
Diwani wa kata ya Kibasuka Royce Manyata akichangia hoja katika Baraza hilo ambapo amesema kuwa kuna haja kubwa ya kuendelea kuboresha Vituo vya Afya na Zahanati ili akina mama wapate huduma bora. |
Diwani wa kata ya Nyansincha Sunday Magacha akichangia hoja katika Baraza hilo.
TAZAMA VIDEO MAKAMU MWENYEKITI AKIZUNGUMZIA CHANGAMOTO YA MAJI NYAMONGO. |