BARAZA LA HABARI TANZANIA - MCT LALAANI JARIBIO LA MAUAJI YA TUNDU LISSU
Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’ limesema limesikitishwa na jaribio hilo
la mauaji dhidi ya Mbunge na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji
Kajubi Mkajanga September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda
amani na wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani
kitendo hicho.
==>Isome hapo chini