ARUSHA PRESS CLUB YATEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE KUJIONEA VIVUTIO MBALIMBALI
Mhifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire Beatrice Ntambi
akizungumza na waandishi wa chama cha waandishi mkoani
Arusha(APC)waliokwenda kutembelea hifadhi hiyo kwa lengo la kujifunza
na kutangaza utalii wa ndani
Sehemu ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini
Mratibu wa Arusha Press Club Seif Mangwangi akiorodhesha majina ya
waandishi wanaoingia katika hifadhi ya Tarangire katika ziara ya mafunzo
pamoja na kutangaza utalii wa ndani
Picha ikionyesha fuvu la mnyama aina ya Tembo
Sehemu ya makundi makubwa ya tembo wanaopatikana katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire
Twiga wakionekana vizuri katika hifadhi ya Tarangire
Tembo wakizunguka ndani ya hifadhi ya Tarangire
Katika hifadhi hii utakuta aina ya miti mikubwa ya mibuyu inayosadikika
kuishi mamia ama maelfu ya miaka ambayo pia ni kivutio kikubwa katika
hifadhi ya Tarangire
Wanahabari wakichukua taswira katika hifadhi ya Tarangire
Wanahabari wakichukua Selfiee kabla ya kuanza safari kuelekea kujionea vivutio ndani ya hifadhi ya Tarangire
Makundi ya Tembo yakiwa katika hifadhi ya Tarangire
Baadhi ya wanachama wa Arusha Press Club wakiwa katika picha ya pamoja
katika lango la kuingilia katika hifadhi ya Taifa Tarangire
(Habari Picha na Pamela Mollel,Arusha)