Picha: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS KABILA WA KONGO, MJUMBE WA RAIS NYUSI WA MSUMBIJI NA BALOZI WA KUWAIT IKULU DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimu Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi
hiyo Mhe. Leonard She Okitunda alipofika Ikulu jijini Dar es salaam
kuwasilisha ujumbe huo leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea ujumbe kutoka kwa Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo
Mhe. Leonard She Okitunda alipofika Ikulu jijini Dar es salaam
kuwasilisha ujumbe huo leo Juni 5, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Leonard She Okitunda na
ujumbe wake na wa Tanzania alipofika Ikulu jijini Dar es salaam
kuwasilisha ujumbe huo leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem
alipofika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika
kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia malori mawili ya kuzolea taka baada ya kumaliza mazungumzo na
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika
kumtembelea na kukabidjhi msaada wa magari hayo Ikulu jijini Dar es
salaam leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimlaki Mjumbe Maalumu wa Rais wa Msumbiji na Waziri wa Ulinzi wa nchi
hiyo Jenerali Atanasio Salvador Ntumuke alipofika Ikulu jijini Dar es
salaam kuwasilisha ujumbe huo leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Msumbiji na Waziri wa
Ulinzi wa nchi hiyo Jenerali Atanasio Salvador Ntumuke alipofika Ikulu
jijini Dar es salaam kukabidhi ujumbe maalumu leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wajumbe walioongozana na Mjumbe Maalumu wa Rais wa
Msumbiji na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Jenerali Atanasio Salvador
Ntumuke alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi ujumbe maalumu
leo Juni 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana baada ya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Msumbiji na
Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Jenerali Atanasio Salvador Ntumuke
alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi ujumbe maalumu leo Juni
5, 2017
PICHA NA IKULU