Home mapenzi siasa UMESIKIA SAUTI INAYODAIWA KUWA YA MAPENZI MBOWE NA WEMA INAYOSAMBAA MTANDAONI?? BASI MBOWE KAFUNGUKA LEO UMESIKIA SAUTI INAYODAIWA KUWA YA MAPENZI MBOWE NA WEMA INAYOSAMBAA MTANDAONI?? BASI MBOWE KAFUNGUKA LEO
Habari
inayotikisa mitandao ya kijamii kwa sasa ni ile Audio (voice
note/Sauti) inayodaiwa kuwa ya Muigazaji Wema Sepetu na Mbunge wa Hai
Freeman Mbowe inayoashiria kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi.
Leo kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM Mbowe ameielezea sauti hiyo akisema taarifa hizo anazichukulia kama majitaka:
“Mimi
nalichukulia kama taarifa za kawaida za maji taka zinasambazwa. Taarifa
ambazo zinatengenezwa hazina ukweli wowote ndio kitu ninachoweza kusema
kwa sababu siyo za kweli.