Picha katika Matukio tofauti Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan alipotembelea banda la TANESCO Mkoa wa Mara




Grace Kisyombe ambaye ni Afisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Makao Makuu akieleza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani hii leo katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira ambayo kitaifa yanefanyika Mkoa wa Mara Wilaya ya Butiama anaeleza jinsi Tanesco wanavyotoa huduma kwa Wananchi.









Grace Kisyombe ambaye ni Afisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania Makao Makuu akisalimiana na Makamu wa Rais
















Makamu wa Rais akielezwa jinsi njia za umeme zinavyofanya kazi.



















Wa kwanza kushoto ni Meneja TANESCO Mkoa wa Mara Obay Sigala kipindi mmoja wa watumishi wa Shirika hilo alipokuwa akielezea wanachi jinsi wanavyotoa huduma katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani





Grace Kisyombe ambaye ni Afisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Makao Makuu akielezea wananchi jinsi wanavyofanya kazi alipotembelewa kwenye banda lao katika maadhimisho hayo.

  Picha zote na CLEO24NEW  Ukiwa na Habari pamoja na Matangazo piga simu namba 0766424928


Powered by Blogger.