MAKINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI MAENDELEO YA TANZANIA NA KOREA.
Pichani ni Spika Mstaafu, Anne Makinda.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Spika Mstaafu, Anne Makinda (kulia) akiingia Ukumbini na kushoto ni Rais na mwanzilishi wa Chingu Kota
Spika Mstaafu, Anne Makinda (wa
pili kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea
Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu
Jijini Dar ea Salaam mei 25, 2017. Wapili kushoto ni Profesa, Geofrey
Calimag kutoka Korea, kulia ni Rais na Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya
Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku na kushoto ni Mweka hazina wa
Taasisi hiyo, Pamela Bukuku
Rais na Mwanzilishi wa Taasisi
isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku (kulia) akizungumza
wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine
za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Jijini Dar ea Salaam mei
25, 2017.kuanzia kusho ni Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea
na Spika Mstaafu, Anne Makinda
Rais na Mwanzilishi wa Taasisi
isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku katika picha ya
pamoja na wageni wake wa ndani na kutoka Korea Kusini na China
Profesa, Geofrey Calimag (wa pili
kushoto) akizungumza katika Mkutano huo, kuanzia kulia ni Rais na
Mwanzilishi wa Taasisi hiyo isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew
Bukuku, Spika Mstaafu, Anne Makinda na Mweka hazina wa Taasisi hiyo,
Pamela Bukuku