TCU YATANGAZA MFUMO MPYA WA KUDAHILI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2017/2018
Haya
yamebainishwa katika taarifa ya TCU iliyotolewa juzi ambapo imesema
kuwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa
masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya ambao unawataka kwenda vyuoni moja
kwa moja kuomba nafasi.
Hivyo,taarifa
hiyo imewataka wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwa mwaka wa
masomo 2017/2018 kuomba nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu moja kwa moja
vyuoni kuanzia tarahe 22 Julai 2017 hadi 13 Agosti 2017.
Sifa za kujiunga kwa wanafunzi wote ni kama ifuatavyo…
==> Isome taarifa ya TCU hapo chini