John Marwa katibu Tawala Tarime,Watumishi wa Umma fanyeni kazi kwa kufua...
Katibu Tawala Wilaya ya Tarime Mkoani Mara John Marwa akiongea na wajumbe wa kikao cha baraza la Wafanyakazi Wilaya ya Tarime kwa ajili ya kujadili rasmu ya Bajeti mwaka wa fedha 2018-2019 kiasi cha Shilingi Bill43.2 iliyopitishwa na baraza la Madiwani. |
tawala amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria
na kuepuka na suala la Ubaguzi na rushwa kazini ili kutimiza wajibu wao.
Mwenyekiti
wa kikao cha baraza la Wafanyakazi ambae ni Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Tarime Vijijini Apoo Castro Tindwa akiotoa Miongozo ambapo amewataka
Watumishi haoa kuwa wazalendo.
Tazama Video alichokisema Katibu Tawala katika Kikao hicho.