Shirika la Baraki Sisters Farm lapongezwa Katika Suala zima la Kupambana na Ukatili wa kijinsia.



 Kaimu Afisa Elimu Bi. Joyce Tongori akifungu kongamano la shule za
sekondari na Msingi lililoandaliwa na baraki sisters Farm kwa ushirika wa
The Foundation for civili Society katika shule ya sekondari. Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Msingi Kines wakiimba nyimbo zenye ujumbe wa kupiga vita ukeketaji.



Sehemu ya wazee wa kata ya Komuge waliofika katika bonanza hilo wakifatilia kwa umakini.

Sister Frorence Bhoke akimkabidhi Zawadi mmoja wa wanafunzi walioimbuka washindi katika kongamano.




Katikati
ni Mwema Salum Afisa maendeleo ambaye pia ni Mratibu Dawati la jinsia
Rorya na Kushoto kwake ni Mwalimu Joyce kaimu Afisa Elimu Rorya. kushoto
ni Mchungaji Mollel Mratibu wa Dawati la Utetezi KKKT Mara.

Wanafunzi wakiigiza Namna Mtoto wa kike anavyolazimishwa hadi kukekeketwa.







































































      Mr mgimba Mratibu wa Mradi huo akizungumza katika Tamasha hilo.




Shomari Binda mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania akiimba Shairi  katika kongamano


Diwani wa kata ya Komuge Wiliam Nestory akitoa neno katika kongamano .

Zawadi zilizoandaliwa kwaajili ya washindi,



Sister. Frorence Bhoke akitoa Neno wakati wakufunga Kongamano hilo.


                                    Zawadi zikiendelea.





























Tazana Video hapa Chini kupata habari kuhusu kongamano
Powered by Blogger.