Picha katika Matukio: Waandishi wa habari wanolewa kuandika habari za kijinsia
Waandishi wa habari za Kijinsia kutoka Mikoa mbalimbali wakiwa katika mafunzo hayo Wilayani Kibaha Mkoani Pwani katika Ukumbi wa Kibaha,Mafunzo hayo yameandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania UTPC lengo ni kuongeza ujuzi katika kuandika habari za kijinsia. |
Mafunzo yanaendelea. |
Vivian Pyuza Mwandishi wa Radio CG FM Tabora akiwasilisha Michango ya Makundi ikiwasilishwa kwa washiriki wa Semina hiyo |
Grace Musoma Mwandishi wa habari kutoka Mkoani Njombe akiwasilisha Kazi ya Kikundi katika Semina hiyo. |
Baraka Lusajo Mwandishi wa Habari kampuni ya Sahara Media akiwasilisha Kazi ya Kikundi katika Semina hiyo |
Sylivia Freddy Mwandishi wa habari Mbeya akiwasilisha kazi ya Kikundi katika Semina hiyo. |
Akichangia hoja. |
Mwezeshaji wa Masuala ya Kijinsia kutoka Shirikisho la Vyama vya Waandishi wa Habari Tanzania Agnes Kabigi akiendelea kutoa Elimu kwa waandhi hao mafunzo hayo yameandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandhi wa Habari Tanzania UTPC . PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS. |