Lengo la matembezi hayo ni kusaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kugharamia mafunzo ya wauguzi wakunga nchini. BMG Habari, Pamoja Daima!