Mbunge Esther Bulaya awafunda wanawake
| Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini kupitia CHADEMAEsther Bulaya akiongea jinsi alivyodhubutu katika uongozi kwenye mjadala ambao umeandaliwa na TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam. |
| Baadhi ya Viongozi akiwemo aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda wakiwa katika Mjadala wa pamoja. |
TAZAMA VIDEO BULAYA AKIWAFUNDA AKINA MAMA VIONGOZI.