Joseph Nganga Tatizo ni kubwa ajira kwa vijana



Mkurugenzi 
msaidizi wa ajira Ofisi ya Waziri Mkuu inayohusika na Masuala ya  
Kazi,Ajira, Vijana na Walemavu Joseph Nganga akiozungumzia suala la  
ajira kwa Vijana katika Tamasha la TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam 
Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mbeya Zena Kapama akiwasilisha mada katika Tamasha hilo.
Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kishapu Joseph Swalala akiwasilisha Mada katika Tamasha hilo.
TAZAMA VIDEO KUPATA HABARI KAMILI KUHUSU AJIRA KWA VIJANA NCHINI TANZANIA.
Powered by Blogger.