WANANCHI WALIA NA MWEKEZAJI KUHUSU UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIJIJI CHA...
Wananchi wa kijiji cha Mosege Kata Nyarokoba Wilayani Tarime Mkoani Mara wakiwemo wachimbaji wadogo wadogo katika mkutano wa hadhara kwa lengo la kuzungumzia ujenzi wa kituo cha polisi na mwekezaji Mwita Wambura Maarufu Dochi ambapo wanachi hao wamedai kuwa hawako tayari kituo hicho kijengwe maeneo ya Uchimbaji bali kipelekwe eneo tengefu lililotengwa na serikali ya kijiji hicho, Wanachi hao wamedai kuwa kituo hicho kimeanza kujengwa bila uongozi wa serikali ya kijiji kushirikishwa na kupelekea kufanya maamuzi ya kufukia Msingi ambao tayari uliokkuwa umeanza kujengwa. |
TAZAMA VIDEO WANACHI WALICHOKISEMA KATIKA MKUTANO HUO. |