TAZAMA VIDEO, PICHA KATIKA MATUKIO: MKUTANO WA MBUNGE TARIME MJINI MATIKO


Mbunge
wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia CHADEMA Esther Matiko akiongea na
wakazi wa Tarime Mjini katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika
uwanja wa Shamba la Bibi Serengeti Mjini Tarime Mkoani Mara.

Wabunge John Heche na Esther Matiko wakiteta jambo katika mkutano huo.





Wanachi wakiwa katika Mkutano huo wa hadhara
Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akikabidhi Cheleani kwa watu wenye ulemavu katika Mkutano huo.
Matiko akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Viongozi wa chama cha Mpira TAFA Wilayani Tarime Mkoani Mara






Mbunge akikabidhi  Komputa Moja kwa waendesha pikipiki Bodaboda ili kuweza kutunza vyema kumbukumbu zao
Mbunge
akikabidhi Komputa  kwa uongozi wa kikundi cha Jipaze Comedian Group
kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa CLEO24 NEWS Frankius Cleophace
ambaye pia ni Afisa Mahusiano wa kikundi hicho.
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini  John Heche akiongea na Wanachi wa Tarime Mjini
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche akiongea na Wanachi wa Tarime Mjini
Mbunge Heche akitambulisha Mjumbe wa Baraza kuu CHADEMA Taifa Joseph Kasambala katika mkutano huo.
Joseph Kasambala Mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa CHADEMA akiongea na Wakazi wa Tarime
Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akitoa salamu ya Chama kwa wanachi wa Tarime mjini katika Mkutano wa hadhara
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime ambaye pia ni Diwani wa kata ya Sabasaba Hamis Nyanswi akiongea na Wananchi
Diwani wa kata ya Turwa Zakayo Chacha Wangwe akiongea na waanchi wa Tarime Mjini.


 Peter Magwi ambaye ni katibu wa Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko  akiwasilisha taarifa walivyotekeleza vitu mbalimbali.
TAZAMA VIDEO WALICHOKISEMA WABUNGE KATIKA MKUTANO HUO.
Powered by Blogger.