Kiongozi Mbio za Mwenge 2017 Amour Maabara zote lazima zikamilike Mapema
Kiongozi wa mbio za Mwenge Amour Hamad Amour akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa maabara shule ya sekondari Sirari. |
Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Sirari Bulogo Stephen Mbeba akikabidhi taarifa ya ujenzi wa Maabara kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge Amour Hamad Amour |
TAZAMA VIDEO ALICHOSEMA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE BAADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MAABARA HIZO. |