MBUNGE HECHE LAZIMA TUENDELEE KUFANYA KAZI ZA WANANCHI
| Mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini John Heche akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Chadema Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Mbunge huyo amesema kuwa Madiwani wote kwa kushirikiana na Mbunge huyo wataendelea kufanya kazi za wanachi kwa lengo la kuwaletea Maendeleo katika Sekta ya Afya, Elimu, Maji na Barabara. |
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.