Real Madrid imeitwanga Manchester United na kutetea Kombe lake la Ubingwa wa Uefa Super Cup.
Casemiro alianza kufunga katika dakika ya 24 na Isco akapigilia msumari wa pili dakika ya 52 nani Romelu Lukaku akafunga upande wa Man United dakika 10 baadaye.