Kiongozi
wa mbio za Mwenge kitaifa Amour Hamad Amour akimpongeza Diwani wa kata
ya Sirari CHADEMA Paul Nyangoko kwa kushiriki katika uwekaji wa jiwe la
Msingi katika maabara ya Sirari sekondari pamoja na kukabidhi cheki kwa
vikundi mbalimbali.
TAZAMA VIDEO ALICHOKISEMA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE.