ZIARA YA KAMATI YA FEDHA MIPANGO NA UCHUMI YABAINI MAMBO MENGI
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini wa pili
kulia akiwa na wajumbe wa kamati ya Fedha Mipango na Uchumi wakati
wakikagua miradi ya maendeleo .
Afisa Tabibu wa zahanati ya Rung'abure Johstone Bushanya akielezea sababu za waganga kutokuwepo kazini bila ruksa.
Ukaguzi unaendelea
Mwenyekiti Juma Porini akikagua darasa la shule ya Msingi Nyansurumunti
Umejibu vemaa