IGP SIRRO TARIME YA SASA NI SHWARI KATIKA ULINZI NA USALAMA
| Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro akiongea na wadau baada ya kuzindua jengo la Kikosi cha Usalama Barabarani Tarime- Rorya |
Amesema Tarime ya sasa ni nzuri katika suala zima la ulinzi na usalama siyo Tarime ya zamaini.
KWA HABARI ZAIDI TAZAMA VIDEO AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI IGP SIRRO