WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUPELEKA WATOTO WAO KUPATA CHANJO YA MINYOO NA...




Katibu
Tawala wilaya ya Tarime John Marwa akiongea na Wananchi na wanafunzi wa
shule ya msingi Nyamwaga kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious
Luoga katika uzinduzi wa  dawa ya Minyoo na Kichocho ambapo Halmashauri
ya Wilaya ya Tarime zoezi hilo limezinduliwa katika Shule ya Msingi
Nyamwaga
 

                     Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamwaga

Mwenyekiti
wa Halmashaauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa Yomami akiongea na
Wazazi na walezi ambapo amesisitiza suala zima la kuzingatia la Sheria
ya Mtoto.

Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akiongea na
wanafunzi na wazazi katika zoezi zima la ugawaji wa Dawa za Kichocho na
Minyoo ambapo amesisitiza matumizi bora ya Choo na Usafi wa Mazingira.

Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Yomami akimpatia dawa mmoja wa
wanafunzi katika shule ya Msingi Nyamwaga hii leo baada ya uzinduzi wa
ugawaji wa dawa za Kichocho na Minyoo.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akimpatia Maji mmoja wa wanafunzi baad ya kumeza Dawa


Katibu Tawala Wilaya ya Tarime Jonh Marwa akimpatia dawa mmoja wa wanafunzi baada ya uzinduzi wa zoezi hilo.
                     TAZAMA VIDEO HAPA CHINI UPATE HABARI ZAIDI
Powered by Blogger.