Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyamwaga Moses Misiwa Matiko Yomami akieleza jinsi Halmashauri ilivyokusanya fedha na kuvuka lengo Mwaka wa Fedha 2016-2017 ikiwemo suala la kupewa hati safi. TAZAMA VIDEO CHINI AKIELEZA ZAIDI