VIDEO PICHA KATIKA MATUKIO :KAMPUNI YA GRUMETI RESERVES YAFAFANUA JUU YA MADAI YA (WMA)




Meneja
Mahusiano kutoka Kampuni ya Grumeti Reserves Ami Hamidu Seki akiongea
na vyombo vya habari kwa lengo la kufafanua juu ya Madai ya Jumuiya ya
Hifadhi ya Wanyamapori IKONA (WMA), Jumuiya hiyo imedai kuwa kampuni ya
Grumeti Reserves inadaiwa zaidi ya  kiasi cha Shilingi Bill 1.5 yakiwemo
madai ya Pango Gharama za Kupiga Picha na Uwindaji jambo ambalo
lilipelekea kufungwa Njia za Kuingia na Kutoka Maeneo ya Kitalii na
Badae Kufunguliwa .


Seki
amesema kuwa wao wako tayari kulipa madai yao kiasi cha Shilingi
Billioni 1.2 baada ya  WMA kusaini Mikataba ya Makubaliano kutokana na
vikao ambavyo vimekuwa vikifanyika kwa Kushirikisha Ofisi ya Mkuu wa
Wilaya ya Serengeti na Halmashauri.




TAZAMA VIDEO MENEJA MAHUSIANO AMI HAMIDU SEKI AKIFAFANUA NA KATIBU WMA YUSUPH MANYANDA.

Powered by Blogger.