Kulia ni Mwenyekiti wa kijiji Nyangoto, Nyamongo Emmanuel Ryoba Ngocho akikabidhi Shuka150 katika Kituo cha Afya Nyangoto kwa lengo la kutatua changamoto ya upungufu wa Shuka. TAZAMA VIDEO HAPA CHINI KWA HABARI ZAIDI