Rooney atua Bongo na kikosi kizima cha Everton.....Tazama Picha na Video Hapa
Klabu
ya Everton tayari imewasili Jijini Dar es Salam dakika chache
zilizopita ikiwa inatokea nchini Uingereza huku ikiwakosa wachezaji wake
watatu muhimu katika kikosi hicho kutokana na majeruhi waliyokuwa nayo.

Pamoja
na hayo, timu ya Everton imeongozwa na mchezaji nyota Wayne Rooney
pamoja na Davy Klaassen na Michael Keane ambao pia wamejiunga na klabu
hivi karibuni.
Kikosi
kamili cha Everton kilichotua leo ni Maarten Stekelenburg, Mateusz
Hewelt, Chris Renshaw, Tom Davies, Phil Jagielka, Ashley Williams,
Callum Connolly, Jonjoe Kenny, Michael Keane, Muhamed Besic, Leighton
Baines, Morgan Schneiderlin, James McCarthy, Davy Klaassen.

Wengine
ni Gareth Barry, Idrissa Gana Gueye, Joe Williams, Kieran Dowell, Kevin
Mirallas, Wayne Rooney, Aaron Lennon, Dominic Calvert-Lewin, Ademola
Lookman, Matthew Pennington, Yannick Bolasie.

Everton
imewasili Tanzania kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Gor
Mahia ya nchini Kenya mchezo unaotarajiwa kuchezwa katika dimba la
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi ya wiki hii.
Kivutio
kikubwa katika mapokezi ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza
ni wananchi wengi waliojitokeza kumshabikia Wayne Rooney.

==>Tazama VIDEO hapa jinsi walivyopokelewa