MWENYEKITI WA KITONGOJI AKUTWA AMEUAWA TARIME ATUPWA KWENYE LAMBO LA MAJI



Mwenyekiti
wa Kitotongi cha Kereba kijiji cha Karagatonga kata ya Kwihancha
Wilayani Tarime Mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Marwa
Wankuru Gasaya amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye
lambo la maji huku akiwa amefungwa Mikono na katani na kudumbukizwa
kwenye maji na kuwekewa jiwe. 




Mwenykiti huyo mwili wake umeokotwa kwenye maji baada ya
kutoonekana tangu Julai 09 alipoenda Mnadani huko serengeti na Mwili huo
umebainika Julai 11 Mwaka huu.


                             SIKILIZA AUDIO WAKIELEZEA TUKIO HILO.

Powered by Blogger.