MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARIME MADIWANI WANACHOCHEA MIGOGORO KWENYE K...



Mwenyekiti
wa Halmshauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa Yomami akiongea katika
baraza la Madiwani baada ya kupewa Hati safi ambapo ameomba kamati ya
ulinzi na usalama kuwachukulia hatua kali na kukamatwa kwa madiwani
wanao chochea Migogoro ya Mipaka katika Maeneo yao bila kuangalia chama.



"Kuna
madiwani wengine wanadanganya wanachi wao kuwa  wakiwachagua wataweza
kupanua maeneo na kubadili mipaka jambo ambalo ni ndoto hivyo suala hilo
linaweza kuchochea Migogoro na kuweza kuzua hatari kama kuna diwani wa
hivyo bila kujali itikadi za vyama si CHADEMA wala CCM Wakamatwe"
alisema Yomami.
TAZAMA VIDEO MWENYEKITI AKIOMBA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KUWAKAMATA MADIWANI WANAOCHOCHEA MIGOGORO.


Powered by Blogger.