HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME YAPATA HATI SAFI 2015 - 2016 MADIWANI WAPO...
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akisisitiza
jambo baada ya Halmashauri hiyo kupewa Hati safi ambapo amesema kuwa
Halmashauri hiyo itaendelea kusimamia vyema suala zima la Mapato kwa
kushirikiana na Watendaji pamoja na Madiwani.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa akitoa Shukrani zake
kuhusu Halmashauri yake kupewa hati safi ambapo alisema kuwa kipindi
wanaingia madarakani Halmashauri hiyo ilipewa hati ya Mashaka sasa
wataendelea kusimamia vyema Halmashauri hiyo kwa kushirikiana na
watendaji pamoja na Madiwani wote ili hati safi iendelee kutolewa
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wakiwa katika Baraza la madiwani kwa ajili ya kupokea hati safi iliyotolewa jana.
TAZAMA VIDEO KUPATA HABARI ZAIDI