MABINTI TARIME WAPEWA MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI

Afisa
ulinzi na Ushiriki wa Mtoto kutoka Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto
CDF Sophia Temba akitoa Mafunzo kwa Mabinti kutoka kata tano juu la
Haki za mtoto wa Kike Wilayani Tarime katika Ukumbi wa MCN Hotel Mjini
Tarime Mkoani Mara.
Mafunzo hayo yanafadhiliwa na FORWARD UK
![]() |
![]() |
| Wanakumbuka walichojifunza kuhusu Afya ya Uzazi. |
![]() |
| Mafunzo yanaendelea |
TAZAMA VIDEO KUPATA HABARI ZAIDI JUU YA MAFUNZO HAYO


