LUKAKU VS COLE, ILIKUWA NI KAZI KAZI TU, UTAFIKIRI VITA

Man United imeitwanga LA Galaxy kwa mabao 5-2 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa nchini Marekani.

Pamoja na ushindi huo, moja ya kivutio ilikuwa ni beki Ashley Cole alipokuwa akipambana na mshambulizi mpya wa Man United, Romelu Lukaku.


Mara kadhaa ilikuwa kama vita na wakati mmoja, nusura Cole amuumize Lukaku ambaye alimtoa na kuachia krosi dongo.
Powered by Blogger.