Kafulila Aitwa Marekani kwa Ajili ya Vita ya Ufisadi

ALIYEKUWA  Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila ameitwa nchini
Marekani kwa Program Maalum ya Kubadilishana Uzoefu kati yake na nchi
hiyo juu ya vita dhidi ya Ufisadi.



Hata Hivyo Kafulia amesema kuwa vita vya Ufisadi  ni vya watanzania wote
hivyo kila Mtanzania anatatakiwa kupigana vita hivyo bila ya kujali
itikadi za siasa.
Powered by Blogger.