HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TARIME YAUNGA MKONO JUHUDI ZA...
Picha ya pamoja Viongozi wa Chama cha mapinduzi baada ya kikao cha Halmashauri Kuu kilichofanyika katika Ukumbi wa CCM Halmashauri ya Mji wa Tarime kwa lengo la Kupitisha Majina ya wagombea katikaNafasi mbalimbali za kata kata |
Kaimu Kamanda UVCCM Wilaya ya Tarime John Gimunta akiteta jambo na Christopher Gachuma MNEC Mkoa wa Mara |
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilayani Tarime
imeunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi
wa Rais Dr. John Magufuli katika kusimamia na kurudisha uadilifu kwa watumishi
wa umma nchini.

Akitoa tamko hilo katibu mkuu wa CCM Wilaya ya
Tarime Hamis Mkaluka ambaye alikuwa mwenyekiti katika mkutano wa mwisho wa
halmashauri kuu ya chama uliopitisha majina ya wagombea nafasi uongozi ngazi ya
kata ndani ya chama hicho amesema Rais Magufuli ameonyesha uzalendo na juhudi kubwa katika kupambana na vita ya
kiuchumi na Ufisadi.

Mwenyekiti
wa UWT mkoa wa Mara Nancy Msafiri amesema rais amehakikisha kuwa vijana nchini
sasa wameimarika kiakili kwa kuondoa viroba na madawa ya kulevya na kuongeza
nafasi nyingi za uongozi kwa wanawake.

|
TAZAMA VIDEO CCM WAKITOA TAMKO LA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI.