JULIO ABADILI MAWAZO...SASA KUREJEA KUFUNDISHA SOKA TANZANIA BAADA YA KUSUSA
Jamhuri Kihwelu " Julio ",kocha mwenye maneno mengi asiyeishiwa na vituko,ametamka kurejea katika soka la Tanzania,akiwa katika nafasi yake ya Ualimu wa soka,ambayo aliisusa kwa madai aliyotoa kuwa kandanda la Tanzania,limetawaliwa na ubabaishaji.
Kocha huyo wa zamani wa Simba,Coastal
Union, Mwadui Fc,amesema anamipango wa Kurejea katika soka kamaKocha
Licha ya msimu wa Uliopita Akiwa kama Kocha wa Mwadui kutangaza kuachana
na Ukocha kutokana na mizengwe Iliyopo katika Soka.
Julio amesema anaamini wale waliokuwa
wakileta Mizengwe katika Soka wanaelekea kutoka katika soka Hilo na
Tayari Kuna Vilabu Ligi Kuu na Ligi daraja la Kwanza vimeshaonyesha nia
ya Kumwitaji