DUDE LIMEAMSHWA TAMASHA LA “KOMAA CONCERT 2017” JIJINI MWANZA
Tamasha la “KOMAA CONCERT 2017” linafanyika hii leo
Julai 08,2017 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Ni tamasha
lililoandaliwa na EFM Redio kutoka Dar es salaam kuwashukuru
wasikilizaji wake ambao sasa wanaipata vyema kabisa redio hiyo kupitia
masafa ya 91.3 Mwanza.
Tamasha hilo pia limepewa nguvu na kampuni ya michezo ya kubashiri ya BIKO ambapo kwa shilingi elfu moja tu getini, utacheza mchezo wa kubahatisha wa Biko na unaweza kuibuka na mamilioni ya shilingi.
Saa moja baada ya milango ya CCM Kirumba kufunguliwa, wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wanajitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha hilo.

Wakazi
wa Jiji la Mwanza wakikata tiketi za kushiriki bahati na sibu kutoka
BIKU nguvu ya Buku kabla ya kuingia kwenye tamasha la Komaa Concert hii
leo ikiwa ni dakika chache baada ya milango ya CCM Kirumba kufunguliwa.
Tamasha hilo limeandaliwa na EFM Radio

Wakazi wa Jiji la Mwanza wakijipatia tiketi za ushiriki wa mchezo wa bahati nasibu kutoka BIKU

Komaa
Conert Jijini Mwanza,Muziki Unaongea na utajishindia mamilioni ya pesa
kupitia mchezo wa bahati nasibu kutoka BIKU nguvu ya Buku. Milango iko
wazi kuanzia saa nne kamili asubuhi

Kutoka EFM Radio, hii ni sehemu ya shukurani kwa wasikilizaji wake

Burukani iko kamili, wahi mapema

Jukwaa limekamilika kwa ajili ya Komaa Concert Uwanja wa CCM Kirumba hii leo

Wapenzi wa burudani za EFM tayari wametinga uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kushuhudia Komaa Concert

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanazidi kuingia uwanjani kwa wingi

Kwa
shilingi elfu moja tu utashiriki mchezo wa bahati nasibu kutoka kampuni
ya BIKO na utaweza kujishindia mamilioni ya shilingi.
Soma HAPA Kuhusu Komaa Concert 2017