Japan yakabidhi kiwanda cha mafuta kwa Chama cha Ushirika Chato......Kinauwezo wa kuzalisha lita 700 za mafuta kwa siku.
Na,Emmanuel Twimanye Geita,
Serikali
ya Japan imekabidhi kiwanda cha kuchakata na Kuzalisha Mafuta ya
Alizeti kwa chama cha Ushirika wa Kilimo na Masoko wilayani Chato Mkoani
Geita chenye uwezo wa kuzalisha lita 700 za mafuta kwa siku.
Akikabidhi
kiwanda hicho,Balozi wa Japani nchini Bw. Masaharu Yoshida amesema
Serikali ya Japan itaendelea kuimarisha ushirikiano huo baina ya nchi
hizo mbili katika kuleta maendeleo kwa wananchi Tanzania.
Mbunge wa Jimbo la Chato, Dk. Med