CDF WAWEZESHA VIJANA 42 TARIME KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KUTOKA KAT...
Mratibu wa Afya Uzazi na Mtoto Tarime Mji Elizabert Burure akitoa Somo la Afya ya uzazi kwa vijana ambao wako nje ya Shule kutoka kata za Nyarokoba,Kwihancha,Nyanungu,na Gorong'a ili waweze kujitambua na kuondokana na changamoto wanazokumbana nazo katika makuzi yao na kuwa mabalozi wa kutoa elimu hiyo maeneo wanayotoka. |
Mafunzo hayo yameandaliwa na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF kwa kushirikiana na shirika la RIGTH TO PLAY
Kambibi Kamugisha kutosha Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF akifundisha vijana hao. |
Wanajibu Maswali. |
Somo linaendelea |
Vijana wakisikiliza kwa Makini |
Soma la Afya ya Uzazi likiendelea |
Mratibu wa Afya Uzazi na Mtoto Tarime Mji Elizabert Burure akisisitiza jambo katika Somo la Afya ya Uzazi kwa vijana hao kutoka kata Nne Kwihancha, Nyarokoba, Nyanungu na Gorong'a. |
Picha ya Pamoja |
HABARI ZAIDI TAZAMA VIDEO HAPA CHINI