BARAZA LA VIONGOZI WA DINI TARIME HATUKUBALI MILA POTOFU


Viongozi
wa Dini kutoka Madhehebu tofauti na Viongozi wa wazee wa Mila kutoka
Koo13 za Kikurya wakiwa katika mdahalo wa pamoja kwa lengo la
kuzungumzia masuala ya kupiga vita Mila kandamizi ambazo zinazidi
kunyima mtoto wa kike Nafasi Wilayani Tarime Mkoani Mara.
TAZAMA VIDEO VIONGOZI WAKITOA MSIMAMO WAO KATIKA KULINDA HAKI ZA MTOTO WA KIKE TARIME.
Powered by Blogger.