YAMETIMIA, ATHUMANI NYAMLANI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS


Aliyewahi kuwa makamu Rais wa TFF, Athumani Nyamlani amechukua fomu ya kuwania urais wa shirikisho hilo.

Nyamlani ametua katika ofisi za TFF na kuchukua fomu tayari kwa uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Agosti 21 mjini Dodoma.

Nyamlani alikuwa injini wakati wa uongozi wa Leodeger Tenga ambao ulisifiwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika mpira wa Tanzania.


Kiongozi huyo ndiye aliyeshindwa na na Rais wa sasa wa TFF, Jamal Malinzi ambaye anaonekana kushindwa kufanya vizuri.

Powered by Blogger.