Home/
Unlabelled
/Video, Picha katika Matukio Tofauti Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Innocent Nanzabar alipokuwa katika ziara yake Wilayani Rorya Mkoani Mara.
Video, Picha katika Matukio Tofauti Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Innocent Nanzabar alipokuwa katika ziara yake Wilayani Rorya Mkoani Mara.
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi( CCM) Mkoa wa Mara Innocent Nanzabar akiongea na
viongozi wa chama hicho katika kata ya Bukwe Wilayani Rorya Mkoani Mara
ni katika ziara yake aliyoanza hii leo kwa lengo la kutoa maagizo kwa
viongozi ngazi ya Shina na Tawi waliochaguliwa.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Innocent akisisitiza jambo kwa viongozi hao
Katibu wa CCM Wilayani Rorya Rucy Bonephace akiteta jambo na katibu wa CCM Mkoa wa Mara Mwenyekiti
wa CCM Wilayani Rorya Mkoani Mara Samwel Kiboye N03 akisisitiza jambo
katika kikao hicho kilichofanyika kata ya Bukwe kwa lengo la kutoa
maelekezo ya chama pia Mwenyekiti huyo amewaomba wanachama kuondoa
tofauti zao na makundi katika harakati hizi za uchaguzi Ngazi ya Kata
Wilaya Mkoa hadi Taifa kwa lengo la kulinda heshima ya chama huku
akipongeza juhudi za Rais katika kazi yake. Katibu UWT Mkoa wa Mara Irimina Mushongi akisisitiza akina mama kujitokeza katika chaguziKatibu
wa wazazi CCM Mkoa wa Mara Robert Manjebe akisisitia suala zima la
wazee kuendelea kushauri vyema chama huku vijana wakipata nafasi
mbalimbali za uongozi katika chama hicho
Kushoto
ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Rorya Mkoani Mara Samwel
Kiboye NO3 akiteta jambo na Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Innocent Nanzabar
kulia ni Katibu wa CCM Wilayani Rorya Rucy Boniphace
Viongozi wa CCM Kata ya Bukwe Wilayani Rorya Mkoani Mara kutoka
Ngazi ya Shina, Tawi, hadi Kata wakiwa katika kikao cha Ndani
kilichofanyika katani humo kwa lengo la kupokea maelekezo kutoka kwa
viongozi wa Mkoa baada ya uchaguzi wa Matawi, na Mashina.
SIKILIZA VIDEO VIONGOZI WA MKOA WA MARA CCM WALICHOKISEMA KATIKA ZIARA YA KATIBU WA CCM MKOA WA MARA INNOCENT NANZABAR WILAYANI RORYA