VIDEO :KATIBU UVCCM MKOA WA MARA HASSAN AWATAKA VIJANA KUJISHUGHULISHA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI.

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mara Hassan Moshi akisisitiza suala la maadili kwa vijana ikiwa ni pamoja na kujipambanua na kufanya kazi kwa kujituma ili kujikwamua kiuchumi na siyo kukaa kwenye vijiwe Pia azungumiza asilimia 10 za vija na akina mama katika Halmshauri. 

SIKILIZA VIDEO YA KATIBU WA VIJANA UVCCM MKOA WA MARA ASISITIZA VIJANA KUJITUMA

Powered by Blogger.