PIX1: MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TISA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 8, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani
Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa

Maliasili na Utalii Mhe.Eng Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha kumi na Tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha
kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Waziri wa
Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge
katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Mbunge wa
Mikumi(CHADEMA) Mhe.Joseph Haule akichangia hoja katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Mbunge wa Viti
Maalum(CHADEMA) Mhe.Catherine Nyakao
Ruge akichangia mchango wake wa kwanza katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
|
Mbunge wa Viti
Maalum Mhe.Mariam Kisangi(CCM) akiuliza swali katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Picha na Daudi Manongi,Dodoma.
|