Picha: Matukio tofauti baraza la madiwani la kuwasilisha taarifa za kata robo ya Nne 2017 Halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara.

Diwani wa kata ya Nyansicha Sunday Magacha akichangia hoja baada ya kumaliza kuwasilisha taarifa za kata katika baraza la madiwani la kuwasilisha taarifa za kata robo ya Nne 2017,  Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Diwani huyo amesema kuwa wataalamu wa Halmashauri kuna haja kubwa ya kuwa wanatoa Mrejesho kabla ya kikao kuanza kutokana na yale madiwani wanayowasilisha katika vikao  hivyo

Dkt Peter Nyanja akijibu hoja za madiwani katika baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Tarime lililofanyika hii leo katika ukumbi wa Halmashauri hiyo Nyanja amesema kuwa Changamoto zote zilizowasilishwa na madiwani hao katika baraza hilo la kuwasilisha taarifa za robo ya Nne 2017 zitaenda kufanyiwa kazi.

Diwani kata ya Muriba akiwasilisha taarifa

Madiwani wakifuatilia kinachoendelea katika kikao hicho.

Madiwani wakifuatilia kinachoendelea katika kikao hicho.


Katikatu ni Makamu Mwenyenyiki wa Halmshauri ya wilaya ya Tarime Bathromeo Machage kushoto ni diwani wa kata ya Susuni.

Diwani wa kata ya Nyarero John Mhabasi akiwasilisha taarifa ya kata yake amesema kuwa kata yake inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa Zahanati , na Vituo vya Afya ambavyo vinamilikiwa na serikali hivyo suala hilo linasababisha wananchi wake kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kufuata huduma ya Afya.

Diwani wa kata ya Nyanungu Mang'enyi akiwasilisjha Taarifa ya kata yake.

Diwani kata ya Ganyange Nashon Marwa  akiwasilisha taarifa ya kata yake ambapo amesema kuwa kwa sasa kata yake inaendelea vyema katika suala zima la ulinzi na usalama.

Mama Mery Nyagabonaa diwani viti maalumu CHADEMA akiwasilisha taarifa katika balaza la madiwani.

Diwani kata ya Binagi Marwa Chacha akiwasilisha taarifa ya kata yake.

Diwani kata ya Komaswa akiwasilisha taarifa

Powered by Blogger.