JUMBE WA DIAMOND PLATINUMS KWENDA KWA THE BOSS LADY ZARI

By @diamondplatnumz 

Kupata mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata Mwanamke atae kubali kuacha stareh zote za dunia na kukulelea watoto ipaswavyo sio kitu rahisi.... kazi yangu imejawa na vishawishi vigi sana, wakati mwingine napatia wakati mwingine nakukosea lakini siku zote umekuwa mwenye kunielekeza nikoseapo na sio kunihukumu...na ndiomaana siku zote chochote ukitakacho nikiwa nacho lazma nikupe pengine itanisaidia kukuelezea ni kias gani nakupenda na kukuthamini.... Happy Mother's Day @zarithebosslady

Powered by Blogger.