"Mimi huyu ni rafiki yangu kwa hiyo nilitaka kujua Professa Lipumba
anafanya nini kuvuruga CUF, hivyo nilitaka kujua Lipumba amepatwa na
nini mpaka amevuruga chama chako na kiukweli mimi nilikuwa siufahamu
vizuri huu mgogoro ila saizi Seif ameniambia kwa hiyo na mimi nataka
nitafakari alichoniambia rafiki yangu ni ‘digest’ baada ya hapo nitajua
nafanya nini” alisema Gwajima